
Nilipata idhini ya Musalia kuingia UDA, adai Malala
NA BENSON AMADALA
SENETA wa zamani wa Kakamega Cleophas Malala ametetea uamuzi wake wa kuhama ANC na kujiunga na UDA, akisema alichukua hatua hiyo baada ya mashauriano.
Bw Malala aliyeshindwa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana Kakamega, aliteuliwa Katibu Mkuu mpya wa chama cha UDA Jumatatu.
Source link